Mtunzi: Geofrey Ndunguru
> Tazama Nyimbo nyingine za Geofrey Ndunguru
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Utatu Mtakatifu | Zaburi
Umepakiwa na: Geofrey Ndunguru
Umepakuliwa mara 1,165 | Umetazamwa mara 2,755
Wimbo huu unaweza kutumika:
- Katikati Utatu Mtakatifu Mwaka C
Wewe mungu Bwana wetu, jinsi lilivyotukufu jina lako Duniani mwote
1Nikiziangalia mbingu zako,kazi ya vidole vyako,mwezi na nyota ulizoratibisha. mtu ni kitu gani hadi umkumbuke na binadamu hata umwangalie