Mtunzi: Filbert Munywambele (Fimu)
> Tazama Nyimbo nyingine za Filbert Munywambele (Fimu)
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio
Umepakiwa na: Basil Tumaini
Umepakuliwa mara 1,594 | Umetazamwa mara 4,042
Download Nota Download MidiWEWE NDIWE MKATE
Na Filbert Munywambele
Kiitikio:
Wewe ndiwe mkate wa mbinguni,
Uliyeshuka kwa ajili yetu;
Utulishe wenye njaa
Utunyweshe wenye kiu. X 2
Mashairi:
1. Wewe ndiwe njia, tutakufuata; Wewe ndiwe njia ya kwenda mbinguni.
2. Wewe ni uzima, sisi tu wagonjwa; twakujia Kristu, utuponye Bwana.
3. Ee Mchungaji mwema, tunakutambua; uliyejitoa, kwa ajili yetu.