Mtunzi: Martias Benard Babu
> Tazama Nyimbo nyingine za Martias Benard Babu
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: Thomas George Mwakimata
Umepakuliwa mara 1,009 | Umetazamwa mara 2,915
Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya 23 Mwaka C
Ee Bwana wewe ndiwe mwenye haki na hukumu x2, Na hukumu zako hukumu na hukumu hukumu zako ni za adili x2.
Mashairi:
1. Kama zilivyo rehema zako umtendee mtumishi wako na amri zako unifundishe.
2. Mimi ni mtumishi wako unifahamishe nipate, nipate kuzijua shuhuda zako.