Ingia / Jisajili

WEWE WAVIPENDA VITU VYOTE

Mtunzi: G. A. Miyombo
> Tazama Nyimbo nyingine za G. A. Miyombo

Makundi Nyimbo: Kwaresma | Mafundisho / Tafakari

Umepakiwa na: Andrew Miyombo

Umepakuliwa mara 772 | Umetazamwa mara 1,151

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Ee Bwana, wewe wavipenda vitu vyote vilivyopo, wala hukichukii kitu chochote ulichokiumba. 1. Unawasamehe watu dhambi zao kwa ajili ya kufanya kitubio. 2. Na kuwahurumia, na kuwahurumia kwa kuwa wewe ndiwe Bwana Mungu wetu.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa