Mtunzi: Mr Big
Makundi Nyimbo: Pentekoste
Umepakiwa na: Prosper Msaki
Umepakuliwa mara 703 | Umetazamwa mara 2,005
Download Nota Download MidiManeno ya wimbo
Kiitikio : Wote wakajazwa, Roho Mtakatifu, wakisema matendo makuu ya Mungu Aleluya x2
1. Na makutano yote walikutanika, wakashikwa na fadhaa kwa kuwa kila mmoja aliwasikia wakisema kwa lugha yake mwenyewe.
2 Wakashangaa wote, wakastaajabu wakiambiana tazama hawa wote wasemao si Wagalilaya, iweje waseme lugha mbalimbali.
3. Wakashangaa wote, wakawa na hofu wakiambiana maana yake ni nini na wengine walidhihaki, wakisema wamelewa mvinyo mpya