Mtunzi: Paul Magafu Biseko
> Mfahamu Zaidi Paul Magafu Biseko
> Tazama Nyimbo nyingine za Paul Magafu Biseko
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio
Umepakiwa na: Paul Biseko
Umepakuliwa mara 523 | Umetazamwa mara 1,591
Download Nota Download MidiEe yesu wangu nakutamani (njoo kwangu) (karibu) yesu njoo kwangu (uishi) nami niishi milele x2
1.chakula chako, ee bwana ni chakula cha uzima, uzima wa mioyo yetu wanadamu.
2.damu yako ee bwana, ni damu ya uzima, ulio na neema ya ufalme wetu.
3maneno yako ee bwana,niyaishi milele, yaniponye na dhambi zinizungukazo