Mtunzi: Wicoki
Makundi Nyimbo: Ubatizo
Umepakiwa na: Mika Wihuba
Umepakuliwa mara 399 | Umetazamwa mara 1,143
Download Nota Download Midi{(Yesu alipokwisha kubatizwa) mbingu zilimfunukia mfunukia x2} Roho akashuka kwa mfano (wa hua) na kukaa juu yake (tena). {Tazama sauti ya BABA Sauti ya BABA ikasema "Huyu ni mwanangu mpendwa wangu Ninayependezwa naye" x2}