Mtunzi: Frt. Deo Mwageni
> Tazama Nyimbo nyingine za Frt. Deo Mwageni
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio
Umepakiwa na: Gervas Kombo
Umepakuliwa mara 1,758 | Umetazamwa mara 4,958
Download Nota Download MidiYesu mwokozi wangu karibu moyoni mwangu ninakukaribisha x2
Mwili wako Yesu chakula cha uzima damu yako Yesu kinywaji cha uzima wewe ni mwokozi wa roho yangux2
1. Njoo Bwana shibisha roho yangu kwa mwili wako tuliza kiu yangu kwa damu yako
2. Njoo Bwana uishi ndani yangu na mimi kwako, ili niushiriki Umungu wako.
3. Njoo Bwana nipe nguvu za mwili wangu dhaifu, usiokidhi haja ya roho yangu.