Mtunzi: Christian Benedict Nkonya (Chribenko)
> Mfahamu Zaidi Christian Benedict Nkonya (Chribenko)
> Tazama Nyimbo nyingine za Christian Benedict Nkonya (Chribenko)
Makundi Nyimbo: Noeli
Umepakiwa na: Mika Wihuba
Umepakuliwa mara 430 | Umetazamwa mara 1,514
Download Nota Download MidiYesu kazaliwa Bethlehemu twende kwa pamoja tukamwone. Aliyezaliwa kwetu sisi ndiye Masiha wetu Mkombozi,( Malaika waimba utukufu mbinguni, nasi tujiunge nalo kundi la wachungaji tukamwabudu x2.)
1.Wachungaji waletewa neno jema, yakuwa Mwokozi waliyemngoja, ndiye leo kazaliwa amekuja kutukomboa, nasi tuzaliwe upya rohoni mwetu.
2.Nasi tuendapo tuwe na zawadi, tulizoandaa kwa kipindi chote, tukampe Emmanuel ni Mungu pamoja na sisi, akae katikati yetu wahitaji.