Ingia / Jisajili

YESU KRISTO ATUALIKA

Mtunzi: John kitebo
> Mfahamu Zaidi John kitebo
> Tazama Nyimbo nyingine za John kitebo

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio

Umepakiwa na: Michael Makingi

Umepakuliwa mara 124 | Umetazamwa mara 938

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Yesu kristo atu alika kwenye karamu yake takatifu ya mwili wake mtakatifu na Damuyo yake takatifu x2 (1)Tuijongee meza yake takatifu ilitu mpokee yes kristo.(2)Tukipokea mwili wake na Damuye Tuta ishi nae kwa amani.(3)Tukii jongea mezaye takatifu yesu kristo ATAKUWA nasi.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa