Ingia / Jisajili

Yesu Kwetu Ni Rafiki

Mtunzi: Charles C. Converse

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio

Umepakiwa na: Yudathadei Chitopela

Umepakuliwa mara 2,996 | Umetazamwa mara 10,463

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
  1. Yesu kwetu ni rafiki, waambiwa haja pia, tukiomba kwa Babaye, maombi asikia.
    (Lakini twajikosesha, twajitweka vibaya, kama tulimwomba Mungu, dua alisikia) x 2
     
  2. Una dhiki na maonjo, una mashaka pia, haifai kufa moyo, dua atasikia.
    (Hakuna mwingine mwema, wakutuhurumia, atujua tu dhaifu, maombi asikia.) x 2
     
  3. Je unayo hata nguvu, uwezi kuendelea, ujapodharauliwa, ujaporushwa pia.
    (Watu wakikudharau, wapendao dunia, hukwambata mikononi, dua atasikia) x 2

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa