Ingia / Jisajili

Kristu Ndani Mwangu

Mtunzi: Patrick Ingati
> Mfahamu Zaidi Patrick Ingati
> Tazama Nyimbo nyingine za Patrick Ingati

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio

Umepakiwa na: patrick ingati

Umepakuliwa mara 156 | Umetazamwa mara 700

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Kristu ndani mwangu umekuja uiponye nafsi yangu nashukuru kwa zawadi kubwa hii, ni bahati yangu kukupokea x2 1. Yesu Kristu umekuja ndani mwangu kuniokoa. 2. Nafungua Roho yangu, Kristu ili uniokoe. 3. Ndani mwangu nina raha, Yesu kaa nami daima. 4. Nashukuru Yesu wangu, umekuja kuniokoa.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa