Mtunzi: Isaack Mkude
> Tazama Nyimbo nyingine za Isaack Mkude
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio
Umepakiwa na: Prosper Msaki
Umepakuliwa mara 445 | Umetazamwa mara 1,499
Download Nota Download MidiMANENO YA WIMBO
Yesu mwema njoo kwangu : unilishe mwili wako uninyweshe na damu yako x2
1. Yesu ukae mwangu nami nikae mwako siku zote
2. Nilapo mwili wako ninywapo damu yako nafarijika
3. Yesu ndiye rafiki yeye anatupenda siku zote
4. Tunapokula mwili tunapokunywa damu tujiandae