Ingia / Jisajili

Yesu Mwokozi wangu

Mtunzi: Lazaro Mwonge
> Mfahamu Zaidi Lazaro Mwonge
> Tazama Nyimbo nyingine za Lazaro Mwonge

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio

Umepakiwa na: Frt.John Nsenye

Umepakuliwa mara 296 | Umetazamwa mara 1,641

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
YESU MWOKOZI WANGU Na: Lazaro Mwonge [Yesu Mwokozi roho yangu inakutamani wewe]×2. Mwili wako chakula bora na damu yako kinywaji cha uzima [Ee Yesu wangu mwema karibu rohoni mwangu ukae nami uniimarishe] × 2. Yesu Mwokozi upendo wako ni mkuu kwangu siku zote, unajifanya chakula chetu tena kinywaji bora kiletacho uzima katika maumbo ya mkate na divai…. (katika maumbo ya mkate na divai, chakula chetu ndipo hufanyika kuwa mwili na damu ya kristo hivyo tunaarikwa kushiriki tupate uzima) × 2. HITIMISHO: [Yesu Mwokozi roho yangu inakutamani wewe]× 2. Yesu mwema mkate wa mbingu uliye chakula kutoka mbinguni uishibishe roho yangu nisione njaa siku zote, uishibishe roha yangu nisione kiu siku zote.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa