Ingia / Jisajili

Yesu Najitolea Kwako

Mtunzi: C. Kidonika

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio

Umepakiwa na: Eusebius Joseph Mikongoti

Umepakuliwa mara 5,116 | Umetazamwa mara 8,364

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Kiitikio;

Yesu, najitolea kwako mwili na Roho; nitende unavyotaka x2.

Mashairi;

1. Nakuja mtumishi wako, mbele yako Bwana unipokee, nitende unavyotaka

2. Natubu makosa yangu, nitakase Bwa-na, unipokee; nitende...

3. Tazama mimi ni wako, najitolea kwa-ko unipokee; nitende...

4. Na kamwe usiniache, nakusihi Bwa-na, unipokee; nitende...
 
5. Ikisha safari hii, juu mbinguni Bwa-na, unipokee; nitende...

Maoni - Toa Maoni

Aron Kahatano Aug 11, 2022
Nzuri Sana nyimbo

Toa Maoni yako hapa