Mtunzi: Frt. Erick Kaduma
> Tazama Nyimbo nyingine za Frt. Erick Kaduma
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio
Umepakiwa na: Gervas Kombo
Umepakuliwa mara 585 | Umetazamwa mara 3,260
Download Nota Download MidiEe Yesu wewe ni uzima wangu kiongozi bora wa maisha yangu
Nilapo mwili wako na kunywa damu yako naupata uzima wa milelex2
1. Nishibishe kwa mwili wako Yesu nipate wokovu wa maisha yangu
2. Uninyweshe kwa amu yako Ee Yesu ni urithi uzima wa milele
3. Ee Bwana ingia moyoni mwangu uwe wangu nami kweli niwe wako
4. We ndiye chakula cha mwili wangu na kinywaji cha kweli cha roho yangu
5. Ee Yesu tawala maisha yangu nihubiri neno lako siku zote