Mtunzi: Charles Nyanda
> Tazama Nyimbo nyingine za Charles Nyanda
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio
Umepakiwa na: Joseph Isaya Mwakapila
Umepakuliwa mara 6,044 | Umetazamwa mara 10,059
Download Nota
Yesu tabibu wa roho yangu njoo moyoni njoo moyoni ndiwe mkate chakula cha uzima unishibishe x2
Karibu Bwana Yesu shibisha roho yangu karibu Bwana Yesu unipe uzima x2
1. Mwili wako ni chakula damu yako ni kinywaji cha roho tushibishe siku zote chakula cha uzima
2. Heri yetu kujongea karamu yake Bwana mwokozi anatualika sote twende tumpokee
3. Ee Yesu rafiki mwema na tabibu wa kweli milele natamani nije kwako ili nikae nawe