Ingia / Jisajili

Yesu Wa Miujiza

Mtunzi: Abado Samwel
> Mfahamu Zaidi Abado Samwel
> Tazama Nyimbo nyingine za Abado Samwel

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari

Umepakiwa na: Vusile Silonda

Umepakuliwa mara 2,101 | Umetazamwa mara 5,157

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
  1. Ngoja nikusimulie maajabu ya huyu Yesu mwana wa Maria, mwana wa seremala
    Alikuja duniaji ili atukomboe sisi, akatwaa mwili akazaliwa na Maria.

    Huyu Yesu wa miujiza tena Bwana wa miujizax2
    hakuwa na wa kumfananisha naye maefanya mambo makuu, hakuna x 2

  2. Kwenye harusi ya Kana, alionesha maajabu; kageuza maji ya-ka-wa divai
    Walemavu wakapona, akafufua hata wafu, ni kwa neno tuu, mapepo yakafukuzwa.

  3. Kwa mikate saba tuu, na-visamaki vichache, akalisha watu, ma-elfu kwa maelfu.
    Ni ajabu kwa hakika, mkate akaugeuza, kasema ni mwili, divai kawa damu yake.

  4. Wa-kati akisali, sura yake ikageuka, namavazi yake yakawa kama theluji
    Leo atuita sote, ageuze maisha yetu, hima waamini, njoni tupate miujiza.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa