Mtunzi: Augustine Rutakolezibwa
> Mfahamu Zaidi Augustine Rutakolezibwa
> Tazama Nyimbo nyingine za Augustine Rutakolezibwa
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio
Umepakiwa na: AUGUSTINE RUTAKOLZIBWA
Umepakuliwa mara 853 | Umetazamwa mara 4,276
Download Nota Download MidiYesu wangu karibu moyoni mwangu nikale chakula bora cha uzima x2
Nipe chakula bora nipe kinywaji bora nipe chakula bora nipe kinywaji bora nipe chakula bora nile cha uzima x2
1. Karibu Yesu ndani mwangu na kukaribisha nikale chakula cha uima war oho nikanywe kinywaji bora hiki nikaishi milele
2. Yesu wangu natamani kuungana nawe lakini Bwana mimi ni mwenye dhambi unitakase kwa damu yako ninapokupokea
3. Nishibishe kwa chakula bora cha uzima na uninyweshe kwa damu yako azizi nipe nguvu nikumikie daima na milele