Ingia / Jisajili

Yesu Wangu Nakupenda

Mtunzi: Joseph Makoye
> Tazama Nyimbo nyingine za Joseph Makoye

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio

Umepakiwa na: Yudathadei Chitopela

Umepakuliwa mara 3,810 | Umetazamwa mara 10,160

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Yesu wangu nakupenda chakula cha yangu Roho kila siku nakutaka unipe uzima wako x 2

  1. Pendo langu kwako ni kubwa hata ukafa msalabani ili iokoke nafsi yangu mimi, Yesu wangu nihurumie.
     
  2. Yesu sifai uje kwangu, bali sema neno moja tu, zitaondolewa nyingi dhambi zangu, Yesu wangu nihurumie.
     
  3. Mwili wako ndiyo chakula, damu yako ndicho kinywaji, naja kwako mie na wangu unyonge, Yesu wangu nihurumie.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa