Mtunzi: Mmole G.
> Tazama Nyimbo nyingine za Mmole G.
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Watakatifu
Umepakiwa na: Thomas George Mwakimata
Umepakuliwa mara 4,331 | Umetazamwa mara 7,873
Download Nota Download Midi1. Yosefu tunakutolea sifa na heshima, wana wako elekea uwe kwetu mjima
Kiitikio: Eewe mlinzi mwaminifu tunaomba kwako, mlinde Baba Mtakatifu na kanisa lako x 2.
2. Yesu amekuteua kuwa mlinzi wake, Heri gani unajua kwita Baba yake, Eewe mlinzi mwaminifu.....................................................
3. Ukamtuma na Maria Mama wa Mwenyezi, Kwako tunakimbilia Baba wa mwombezi, Eewe mlinzi mwaminifu...........................
4. Roho tunapozimia Yosefu karibia, saa ile karibia kwake tufikie, Eewe mlinzi mwaminifu.........................................................................