Maneno ya wimbo
SHAIRI; 1) tunakushukuru baba, kwa kutulinda, navmagojwa mengi hasa hili gonjwa hatari la Corona limewamaliza watu wengi duniani tunakushukuru baba tukisema!! KIITIKIO; yote Yawezekana kwa imani yote Yawezekana kwa imanix2 2) tunakuomba baba utujaoie neema yako tukupende wewe bwana siku zote tuyatende matendo ya kukupenda tukusifu wewe tukisema!! 3) kimbilio let ni kwako bwana tunakuomba utuongezee imani siku zote tukutumikie wewe bwana mungu wetu tukusifu wewe mungu tukisema!! 4) maisha ya hapa duniani Ni ya kupita twaomba mungu amtume roho mtakatifu aje kwetu atuongoze katika kukujuwa wewe tuyatende matendo mema tukisema!!
Nyimbo nyingine za mtunzi huyu