Mtunzi: Deogratius Dotto
> Mfahamu Zaidi Deogratius Dotto
> Tazama Nyimbo nyingine za Deogratius Dotto
Makundi Nyimbo: Majilio
Umepakiwa na: Deogratius Dotto
Umepakuliwa mara 4 | Umetazamwa mara 8
Download NotaNjoni sikieni nyote, sauti ya ukombozi. Ya kwamba yu aja Bwana, kutukomboa sisi.
Yu aja Mwokozi wetu (kweli), Kutoka mawinguni, Kutukomboa sisix2
1. Anakuja mfalme mwenye enzi, nao ufalme mkononi mwake
2. Atayachunga mataifa yote, kwa fimbo yake ile ya chuma
3. Tuyatayarisheni mapito yetu, ili atukute tu wasafi.