Mtunzi: Ezekiel mwalongo
> Mfahamu Zaidi Ezekiel mwalongo
> Tazama Nyimbo nyingine za Ezekiel mwalongo
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari
Umepakiwa na: Ezekiel Mwalongo
Umepakuliwa mara 45 | Umetazamwa mara 62
Wimbo huu unaweza kutumika:
- Shangilio Dominika ya 6 Mwaka A
- Shangilio Dominika ya 12 Mwaka B
- Shangilio Dominika ya 17 Mwaka B
- Shangilio Dominika ya 20 Mwaka B
- Shangilio Dominika ya 32 Mwaka B
Aleluya aleluya aleluya aleluya aleluya aleluya x2
Mimi ndimi njia na kweli na uzima asema Bwana mtu haji kwa Baba ila kwa njia ya mimi