Ingia / Jisajili

Bwana Alivyo Mkarimu

Mtunzi: Deo Kalolela
> Mfahamu Zaidi Deo Kalolela
> Tazama Nyimbo nyingine za Deo Kalolela

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio

Umepakiwa na: Vusile Silonda

Umepakuliwa mara 5,196 | Umetazamwa mara 11,130

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

(Bwana alivyo mkarimu , bwana alivyo na upendo tazama ametuandalia chakula cha uzima) x 2
Wale wapenzi wa Bwana jongeeni kwake, Bwana anawaalika jongeeni kwake, Wenye usafi wa moyo jongeeni kwake, Bwana anawaalika, jongeeni kwake

  1. Kweli ni rahisi kusimama na kujongea mbele Lakini jiulize kama unastahili.
     
  2. Usijione mwepesi wa kuijongea altare ujue Unaipokea hukumu yako.
     
  3. Wengi wenu mnaonekana wasafi kwa usoni Lakini mioyo yenu imejaa kutu.
     
  4. Mmejipamba kwa mavazi yenye kupendeza Lakini mioyo yenu ni kama kaburi.

Maoni - Toa Maoni

imani Jul 23, 2017
Pongeza, Kosoa.... Uwe mstaarabu

Francis Jan 21, 2017
Nashindwa kuidowoload nifanyaje

yuster sute Jan 13, 2017
Pongeza, Kosoa.... Uwe mstaarabu naipenda sana

Toa Maoni yako hapa