Ingia / Jisajili

Hodi Bwana

Mtunzi: Deo Kalolela
> Mfahamu Zaidi Deo Kalolela
> Tazama Nyimbo nyingine za Deo Kalolela

Makundi Nyimbo: Miito

Umepakiwa na: Geofrey Magova

Umepakuliwa mara 12,120 | Umetazamwa mara 18,476

Download Nota Download Midi

Maoni - Toa Maoni

Daniel Jul 16, 2024
Dndndjdjdj

Michael Joseph Feb 02, 2022
Nakutafuta sana huu wimbo na nyimbo nyingine za Deo Kalolela kama wimbo wa Fungue Macho Engi viumbe vya dunia, Nyakati za Mwisho, Iyelele na nyingine nyingi. Nawezaje kuipata?

Michael Joseph Feb 02, 2022
Nakutafuta sana huu wimbo na nyimbo nyingine za Deo Kalolela kama wimbo wa Fungue Macho Engi viumbe vya dunia, Nyakati za Mwisho, Iyelele na nyingine nyingi. Nawezaje kuipata?

Mitao Renatus Aug 21, 2020
Hongera sana baba Kalolela Kwa kazi nzuri barikiwa zaidi!unaehitaji CD yenye wimbo huo walirekodi Kaloli Lwanga yombo Dovya miaka ya 2001 au 2003 watafute kama upo Dar utaipata ndg yangi

ELIAS SAMWELI MPENZWA Mar 27, 2017
Tumsifu Yesu Kristo, Hongereni sana jinsi mnavyo rahisisha upatikanaji nyimbo, Tunaomba mzidi kutuwekea na audio itapendeza zaidi, kwa mfano huu wimbo wa Hodi Bwana naupenda sana sana, nimetafuta CD YAKE ZAIDI YA MWAKA LAKINI WAPI, Sija kata tamaa najua ipo kwani niliwahi kuusikia ukiimbwa Radio Maria, tashukuru pia ukunielekeza wapi naweza ipata hiyo cd yenye huu wimbo nikanunue

Toa Maoni yako hapa