Ingia / Jisajili

Ee Bwana, Ulimwengu

Mtunzi: Sylvanus Mpuya
> Mfahamu Zaidi Sylvanus Mpuya
> Tazama Nyimbo nyingine za Sylvanus Mpuya

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: Mika Wihuba

Umepakuliwa mara 15 | Umetazamwa mara 57

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Ee Bwana  ulimwengu wote ukatika uwezo wako, (wala hakuna) wala hakuna wala hakuna awezaye kukupinga kukupinga ukipenda x2

1.Wewe umeumba vyote, mbingu na nchi mbingu na nchi, na vitu vyote maajabu yako, na vitu vyote maajabu yako.

2.Vilivyo juu ya mbingu na vilivyomo chini ya mbingu, vyote ni kazi ya mikono yako, vyote ni kazii ya mikono yako.

3.Wewe ni mweza wa yote wala hakuna wakukupinga, kwa kila jambo wewe ukipenda, kwa kila jambo wewe ukipenda.

4.Mbinguni na Duniani, mapenzi yako yanatimizwa, wewe ni Bwana Mungu wa vyote, wewe ni Bwana Mungu wa vyote.


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa