Mtunzi: Sylvanus Mpuya
> Mfahamu Zaidi Sylvanus Mpuya
> Tazama Nyimbo nyingine za Sylvanus Mpuya
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: Mika Wihuba
Umepakuliwa mara 490 | Umetazamwa mara 1,649
Download Nota Download MidiMwimbieni mwimbieni Bwana wimbo mpya, mwimbieni nchi yote x2 Heshima na adhama ziko mbele zake nguvu na uzuri zimo katiaka patakatifu pake. x2.
1.Mpigieni Bwana vigelegele enyi wenye haki, kwani kusifu kunawapasa Wanyofu wa Moyo.
2.Mshukuruni Bwana kwa zeze pia kwa kinubi kwa kinanda cha nyuzi kumi mwimbieni sifa.
3.Kwa kuwa neno la Bwana lina adili, nakazi yake anaitenda kwa uaminifu.
4.Huzipenda haki na hukumu nayo nchi imejaa fadhili za Bwana.