Ingia / Jisajili

Ee Bwana Ulimwengu wote

Maneno ya wimbo

Kiitikio

Ee Bwana ulimwengu wote u katika uwezo wako wala hakuna awezaye kukupinga ukipenda X2

Shairi

 Wewe umeumba vyote mbingu na nchi na vitu vyote vya ajabu vilivyomo chini ya mbingu, ndiwe Bwana wa yote


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa