Mtunzi: Nivard S Mwageni
> Mfahamu Zaidi Nivard S Mwageni
> Tazama Nyimbo nyingine za Nivard S Mwageni
Makundi Nyimbo: Kristu Mfalme | Watakatifu | Zaburi
Umepakiwa na: Nivard Silvester
Umepakuliwa mara 877 | Umetazamwa mara 3,647
Download Nota Download MidiBwana ametamalaki(Bwana)Bwana ametamalaki x2 Juu sana juu sana juu sana kuliko nchi yote x2 1. Bwana ametamalaki, nchi naishangilie, visiwa vingi navifurahi, mawingu na giza vyamzunguka 2. Milima iiliyeyuka kama, nta mbele mbele za Bwana, mbele za Bwana wa dunia yote, mbingu zimetangaza haki yake 3. Maana wewe ndiws uliye juu, juu sana kuliko nchi yote. Umetukuka sa----na, juu juu ya miungu yote