Ingia / Jisajili

Ee Bwana Yote Uliyotutendea

Mtunzi: Ansert Mchefya
> Tazama Nyimbo nyingine za Ansert Mchefya

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Mwanzo

Umepakiwa na: Thomas George Mwakimata

Umepakuliwa mara 1,636 | Umetazamwa mara 4,164

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Ee Bwana Yote uliyotutendea umeyatenda kwa haki, kwa kuwa sisi tumetenda dhambi wala hatukuzitii amri zako x 2.

Mashairi:

1. Ulitukuze jina lako na kututendea sawasawa na wingi wa huruma yako.

2. Ee Bwana yote uliyotutendea umeyatenda kwa haki.


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa