Mtunzi: Ansert Mchefya
> Tazama Nyimbo nyingine za Ansert Mchefya
Makundi Nyimbo: Miito | Zaburi
Umepakiwa na: Thomas George Mwakimata
Umepakuliwa mara 2,108 | Umetazamwa mara 5,405
Download Nota Download Midi(Ndipo niliposema tazama Bwana nimekuja) x 2, (tazama nimekuja kuyafanya mapenzi) x 2
1. (a) Nalimngoja Bwanao, Bwana kwa saburi, akaniinamia akasikia kilio changu.
(b) Akatia wimbo mpya kinywani mwangu ndio sifa zake, ndio sifa zake Mungu wetu.
2. (a) Dhabihu na matoleo, huku pendezwa nazo, masikio yangu umeyazibua.
(b) Kafara na sadaka, za dhambi hukuzitaka, ndipo niliposema tazama nimekuja.
3. (a) Katika gombo la chuo, nimeandikiwa kuyafanya mapenzi yako.
(b) Ee Mungu Mungu wangu, ndiyo furaha yangu, naamsheria yako imo moyoni mwangu.