Ingia / Jisajili

Enendeni Ulimwenguni Kote

Mtunzi: Sisko Samson
> Mfahamu Zaidi Sisko Samson
> Tazama Nyimbo nyingine za Sisko Samson

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari

Umepakiwa na: makingili kazimili

Umepakuliwa mara 443 | Umetazamwa mara 1,223

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Katikati Dominika ya 21 Mwaka C

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Enendeni ulimwenguni kote, enendeni  ulimwenguni kote mkaihubiri injilix2. mkawafanye mataifa kuwa wanafunzi wangu nakuwafundisha kuyashika yote niliyo waamuru ninyi niliyowaamuru ninyi.

1.Enendeni duniani kote mkaihubiri injili kwa kila kiumbe mkaihubiri injili.

2.Enendeni muwafundishe nakuyashika yote niliyowaamuru niliyowaamuru ninyi maana mimi ndiye Mungu wenu Mungu wenu.

3.Mkaihubiri injili mkaihubiri injili kwa mataiifa yote yasiyo amini makwafundishe yote niliyowamuru.


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa