Mtunzi: Sisko Samson
> Mfahamu Zaidi Sisko Samson
> Tazama Nyimbo nyingine za Sisko Samson
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari
Umepakiwa na: kazimili makingili
Umepakuliwa mara 506 | Umetazamwa mara 2,132
Download Nota Download MidiNinatamani daima kusonga na njia yangu Mungu wangu imefungwa, na hukumu yangu sasa imekaribia na shetani naye amenijaza kiburi x2 Nimegundua njia ya kuniokoa katika kisima hiki cha mateso.Inanipasa nisali tena kwa bidii niwasaidie yatima wajane na majirani ili nipate tiketi yangu ya kunifikisha kule kwa Babax2 1.Tiketi yetu moja ya kwenda kwa Baba nakaza mwendo nifike kule kwa Baba. 2.safari bado ni ndefu ya kwenda kwa Baba tukaze mwendo ili tufike mbinguni. 3.safarib yetu ina vikwazo vingi sana tukaze mwendo tufike kule kwa baba.