Mtunzi: Sisko Samson
> Mfahamu Zaidi Sisko Samson
> Tazama Nyimbo nyingine za Sisko Samson
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari
Umepakiwa na: kazimili makingili
Umepakuliwa mara 887 | Umetazamwa mara 2,680
Download Nota Download MidiWatu na wakushukuru(Mungu) ee MUNGU wangu (Watu) watu na wakushukuru ee mungu wangu
1.Njia yake na ijulikane duniani kote njia yake na ijulikane kwa mataifa yote
2.Nialihimidi jina lako e Mungu wangu mbele ya Miungu niatimba nitaimba zaburi
.3.vitasimulia sifa zako ee Mungu wangu viatsimulia sifa zako vizazi vyote