Ingia / Jisajili

Siku Sita Kabla Ya Pasaka

Mtunzi: Robert A. Maneno (Aka Albert)
> Mfahamu Zaidi Robert A. Maneno (Aka Albert)
> Tazama Nyimbo nyingine za Robert A. Maneno (Aka Albert)

Makundi Nyimbo: Kwaresma | Matawi

Umepakiwa na: Albert Maneno

Umepakuliwa mara 2,840 | Umetazamwa mara 7,501

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Siku Sita Kabla ya Pasaka Bwana Alipoingia mjini Yerusalemu, Watoto walimlaki Nao walichukua matawi ya mitende Mikononi, Wakapaza sauti wakisema Hosana Juu mbinguni Mbarikiwa wewe uliyekuja na wingi wa rehema yako.


Maoni - Toa Maoni

Minnie Apr 11, 2025
Na pongeza huu wimbo

Toa Maoni yako hapa