Mtunzi: Essau Lupembe
> Mfahamu Zaidi Essau Lupembe
> Tazama Nyimbo nyingine za Essau Lupembe
Makundi Nyimbo: Misa
Umepakiwa na: ESSAU LUPEMBE
Umepakuliwa mara 1,256 | Umetazamwa mara 2,731
Download Nota Download Midi(A) MISA YA I KYRIE HURUMA YA MUNGU
Bwana Bwana utuhurumie, Bwana Bwana utuhurumie Ee Bwana bwana utuhurumie ..x2
ee Kristu Ee Kristu utuhurumie Ee Kristu kristu utuhurumiee. ..x2
Bwana Bwana utuhurumie, Bwana Bwana utuhurumie Ee Bwana bwana utuhurumie ..x2