Ingia / Jisajili

Njoni Kwa Bwana

Mtunzi: Essau Lupembe
> Mfahamu Zaidi Essau Lupembe
> Tazama Nyimbo nyingine za Essau Lupembe

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio

Umepakiwa na: ESSAU LUPEMBE

Umepakuliwa mara 0 | Umetazamwa mara 0

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

                                                                                               NJONI KWA BWANA

1) Njoni kwa bwana mpate chakula cha uzima njoni mezani kwake Bwana mpate chakula .... x2

Chakula  hiki ni cha uzima wa milelel, kilichoshuka toka Mbinguni asema Bwana ...x2

1) Atatu-lisha na kutunywesha, tutapokea mema ya Mungu

2)Twende tujongee meza ya Bwana, kwa Moyo safi tukampokee

3) Chakula cha Mbingu kinaunganisha kinaburudisha Roho zetu

4)  Twendeni wote tukampokee tukae naye milele yote


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa