Ingia / Jisajili

Acheni Niruke

Mtunzi: Faustine J. Mtegeta
> Tazama Nyimbo nyingine za Faustine J. Mtegeta

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari

Umepakiwa na: Yudathadei Chitopela

Umepakuliwa mara 2,809 | Umetazamwa mara 6,582

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Acheni mimi niruke ruke nitangaze kazi ya Mungu kwa kuwa Mungu kanitendea kadiri ya maombi yangu 
(nitacheza cheza nitaimba nyimbo kuonyesha furaha yangu) x 2 A-Ee ee

  1. Ameniganga majeraha, na kunitoa kule gerezani kanipeleka panapo nafasi aliyoniwekea tangu kuumbwa ulimwengu.
     
  2. Amenijengea mnara kama mnara wa Yerusalemu na kuniweka juu ya mnara niweze kuona pande zote.
     
  3. Kwa nini nisiimbe nisiruke ruke nisicheze cheze na kushangilia uweza wake

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa