Ingia / Jisajili

Akawanyeshea Mana

Mtunzi: Sunday Mazigo
> Mfahamu Zaidi Sunday Mazigo
> Tazama Nyimbo nyingine za Sunday Mazigo

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: Sunday Mazigo

Umepakuliwa mara 183 | Umetazamwa mara 641

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Akwawanyeshea Mana Akawanyeshea mana mana ili wale akawapa nafaka nafaka ya mbinguni 1. |Mambo tuliyoyasikia na kuyafahamu mambo ambayo baba zetu walituambia. 2. Hayo hatutawaficha wana wao huku tukiwaambia kizazi kingine. 3. Lakini aliamuru mawingu juu akaifungua milango ya mbinguni. 4. Wanadamu wakala chakula chakula cha mashujaa cha kuwashibisha.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa