Mtunzi: Sunday Mazigo
> Mfahamu Zaidi Sunday Mazigo
> Tazama Nyimbo nyingine za Sunday Mazigo
Makundi Nyimbo: Pasaka
Umepakiwa na: Sunday Deogratias
Umepakuliwa mara 486 | Umetazamwa mara 1,774
Download Nota Download MidiSiku ya kwanza ya Juma Mariamu Magdalena na wenzake walikwenda walikwenda Kaburinix2
Walikuta lile jiwe limeshaviringishwa na kaburi liko wazi Bwana kafufukax2
1. Na tazama palikuwapo tetemeko kubwa la nchi Malaika wa Bwana alishuka toka Mbinguni akaviringisha lile jiwe akalikalia.
2. Na sura yake ilikuwa kama umeme mavazi yake meupe kama theruji.
3. Na kwa kuogopa wale walinzi wakatetemeka wakawa kama wafu wakatetemeka wakawa kama wafu.