Ingia / Jisajili

Akawanyeshea Mana

Mtunzi: D. E. Ng'atigwa
> Tazama Nyimbo nyingine za D. E. Ng'atigwa

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio

Umepakiwa na: Yudathadei Chitopela

Umepakuliwa mara 12,128 | Umetazamwa mara 20,541

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Akawanyeshea mana ili wale  X3
Akawapa nafaka ya mbinguni 

  1. Mambo tuliyo yasikia na kuyafahamu ambayo baba zetu walituambia, huku tukiwaambia kizazi kingine,  hayo hatuwaficha wana wao sifa za Bwana na nguvu zake.
     
  2. Lakini aliamuru mawingu juu akaifungua aha milango oho ya mbinguni akawapa nafaka ya mbinguni.
     
  3. Mwanadamu akala chakula cha mashujaa aliwapelekea chakula cha kuwashibisha chakula cha kuwashinisha.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa