Ingia / Jisajili

Yatamanini Maziwa

Mtunzi: D. E. Ng'atigwa
> Tazama Nyimbo nyingine za D. E. Ng'atigwa

Makundi Nyimbo: Mwanzo

Umepakiwa na: James Mponela

Umepakuliwa mara 6 | Umetazamwa mara 15

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya 2 ya Pasaka Mwaka A
- Mwanzo Dominika ya 2 ya Pasaka Mwaka B
- Mwanzo Dominika ya 2 ya Pasaka Mwaka C

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Kiitikio: Kama watoto wachanga waliozaliwa sasa, yatamanini maziwa maziwa ya akili, yatamani maziwa yasiyoghoshiwax2

Mashairi:

1. Pokeeni furaha ya utukufu, mshukuruni Mungu aliyewaita, kwa ufalme wake wa mbinguni

2. Ili kwa hayo ili kwa hayo, mpate kuukulia wokovu, wokovu wake aleluya


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa