Ingia / Jisajili

Aleluya Kristu Amefufuka

Mtunzi: John Mgandu
> Tazama Nyimbo nyingine za John Mgandu

Makundi Nyimbo: Pasaka

Umepakiwa na: Yudathadei Chitopela

Umepakuliwa mara 6,814 | Umetazamwa mara 14,140

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Aleluya Aleluya Kristu amefufuka kweli Bwana wetu ni mzima x 2
Twimbe aleluya twimbe aleluya kweli Kristu amefufuka kweli Bwana wetu ni mzima x 2

 1. Hata siku ya kwanza, Maria Magdalena alikwenda kaburini akaona liko wazi.
   
 2. Basi akakimbia, akafika kwa Simoni na kwa yule mwanafunzi aliyempenda Yesu.
   
 3. Na akawaambia, Bwana wamemwomboa wala hatujui kule walikomweka Bwana.
   
 4. Yesu alipokuja, kasimama kati yao akawaambia wote amani iwe kwenu.
   
 5. Nao wakashituka, na wakaogopa sana wakidhani ya kwamba wamemwona Bwana.
   
 6. Mbona mwafadhaika kwanini mwaona shaka tazameni miguu yangu tazameni mikono yangu. 

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa