Ingia / Jisajili

Salamu Mzazi Mtakatifu

Mtunzi: John Mgandu
> Tazama Nyimbo nyingine za John Mgandu

Makundi Nyimbo: Mama Maria

Umepakiwa na: Yudathadei Chitopela

Umepakuliwa mara 3,992 | Umetazamwa mara 8,756

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Salamu Salamu Salamu Mzazi Mtakatifu uliyemzaa uliyemzaa mtoto x 2
Mfalme mwenye kutawala mbingu na dunia daima na milele x 2 

  1. Maria Mtakatifu tunakusalimu mama Mzazi wa Mwokozi wetu, Ee Mama tunakuheshimu.
     
  2. Tuko hapa mbele yako tuna shida nyingi sana tusikilize sisi wanao Ee Mama tunakuomba.

Maoni - Toa Maoni

Grace Opudo Dec 29, 2022
wimbo mzuri sana

Bernard seng'ongo Oct 15, 2017
Pongeza, mawashukuru sana kwa kazi nzuli ya kutulahisishia upatikanaji wa nyimbo za kwaya kupitia nota lakini kuna kopi nyingine huwa hazipo sawa zinamakosa makubwa sijajua inatokana na nini .. uwe mstaarabu

Toa Maoni yako hapa