Ingia / Jisajili

ALELUYA CHORUS - TEC

Mtunzi: George F. Handel
> Tazama Nyimbo nyingine za George F. Handel

Namba ya Ithibati: TEC/KMM/37C50/51830/24

Makundi Nyimbo: Misa TEC | Pasaka

Umepakiwa na: Vusile Silonda

Umepakuliwa mara 2,157 | Umetazamwa mara 2,260

Download Nota Download Midi

Maoni - Toa Maoni

olivo mtung'e May 16, 2024
Ninaona kwenye ndiyo badiliko ambalo limefanyika kwa kubadilisha kiswahili kuwa Amefufuka kristu ni kweli -Kitenzi+ Nomino+ Kivumishi+ si sahihi badala ya awali kiswahili sanifu cha Nomino +Kitenzi+Kivumishi (..Kristu amefufuka ni kweli) ambayo ndo ilikuwa sawa

Nelson Gallus Akitanda Feb 29, 2024
Hongera kwa utume huu uliotukuka

Toa Maoni yako hapa