Ingia / Jisajili

Aleluya Mimi Ndimi Chakula Chenye Uzima (Yn. 6:51)

Mtunzi: Robert A. Maneno (Aka Albert)
> Mfahamu Zaidi Robert A. Maneno (Aka Albert)
> Tazama Nyimbo nyingine za Robert A. Maneno (Aka Albert)

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio

Umepakiwa na: Albert Maneno

Umepakuliwa mara 1,169 | Umetazamwa mara 4,225

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Shangilio Mwili na Damu Takatifu ya Bwana Wetu Yesu Kristu Mwaka A
- Shangilio Mwili na Damu Takatifu ya Bwana Wetu Yesu Kristu Mwaka B
- Shangilio Mwili na Damu Takatifu ya Bwana Wetu Yesu Kristu Mwaka C

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Aleluya Mimi Ndimi chakula kilichoshuka kutoka mbinguni Asema Bwana, Mtu akila chakula hiki ataishi milele


Maoni - Toa Maoni

Robert Maneno Jun 15, 2017
Tumsifu Yesu Kristu! Samahani nimefanya marekebisho kidogo kwenye sauti ya pili na ya tatu kwa kuondoa neno "Aleluya" ambalo walikuwa wanaliimba mwishoni mwa sehemu ...Mtu AKila Chakula Hiki....Kabla ya kurudia maneno Aleluya; na pia mwishoni mwa maneno ya Aleluya kuna sehemu walikuwa wanaingia sauti ya pili na tatu pia sawa sawa na ilivyo sehemu ya kwanza ya wimbo, basi kule mwishoni neno hilo "Aleluya" halitakuwepo . Hii ni katika kuweka sawa mtiririko wa wimbo uimbike kiurahisi. Samahani kwa Usumbufu

Toa Maoni yako hapa