Ingia / Jisajili

Jiwe Walilolikataa Waashi

Mtunzi: M.p. Makingi
> Mfahamu Zaidi M.p. Makingi
> Tazama Nyimbo nyingine za M.p. Makingi

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: Michael Makingi

Umepakuliwa mara 21 | Umetazamwa mara 48

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Katikati Dominika ya 4 ya Pasaka Mwaka C

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
JIWE WAlILO KATAA WAASHI .JIWE WALILOLIKATAA WAASHI LIMEKUWA JIWE KUU LA PEMBENI X2 (1).ALELUYA ALELUYA MSHUKURUNI BWANA KWA KUWA NI MWEMA.KWAMAANA FADHILI ZAKE NI ZAMILELE.NI HERI KUMKIMBILIA BWANA.KULIKO KUWA TUMAINIA WANADAMU.NI HERI KUMKIMBILIA BWANA.KULIKO WA KUU .(2)NITAKUSHUKURU KWAMAANA UMENI JiBU .NAWEUME KUWA WOKOVU WOKOVU WANGU.JIWE WALILOLIKATAA WA ASHI LIMEKUWA JIWE KUU LA PE LA PEMBENI NENO HILI LIMEKA KWA BWANA NALONI AJABU MACHONI PETU (3) NAABARIKIWE YEYE AJAYE KWA JINA KWA JINA LA BWANA.TUMEWA BARIKIA TOKA NYUMBANI MWA BWANA .NDIWE MUNGU WANGU NAMINITA KUSHUKURU.NDIWE MUNGU WANGU NAMI NITAKUTUKUZA . MSHUKURUNI BWANA KWA KUWA NI MWEMA.KWA MAANA FADHILI ZAKENI ZA MILELE.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa