Ingia / Jisajili

BWANA AMEUFUNUA WOKOVU WAKE

Mtunzi: M.p. Makingi
> Mfahamu Zaidi M.p. Makingi
> Tazama Nyimbo nyingine za M.p. Makingi

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: Michael Makingi

Umepakuliwa mara 425 | Umetazamwa mara 991

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
BWANA AMEUFUNUA WOKOVU wake machine pama taiga ameidhi hilisha haki yake X2.(1).Mwimbieni Bwana mwimbieni wimbo mpya kwama ana ametenda Mambo ya ajabu mkono wakuume wake mwenyewe mkono wake mtakatifu umemtendea wokovu.(2).Bwana AMEUFUNUA WOKOVU wake machoni pamataifa ameidhi hilisha haki yake amezikumbuka rehema zake na uaminifu wake kwa nyumba ya israheli.(3).Miisho yote ya dunia imeuona wokovu wa Mungu wetu.mshangilieni Bwana nchi yote imbeni SAUTI imbeni kwa furaha imbeni zaburi.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa