Ingia / Jisajili

Aleluya Mshukuruni

Mtunzi: Filbert Thoy
> Mfahamu Zaidi Filbert Thoy
> Tazama Nyimbo nyingine za Filbert Thoy

Makundi Nyimbo: Pasaka

Umepakiwa na: Yudathadei Chitopela

Umepakuliwa mara 2,265 | Umetazamwa mara 5,833

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Aleluya aleluya mshukuruni mshukuruni aleluya aleluya mshukuruni Bwana x 2
Kwa maana fadhili zake ni za milele, Israeli aseme zake ni za milele x 2
Aleluya aleluya mshukuruni bwana

  1. Mkono wa Bwana umetukuzwa, mkono wake hutenda makuu
    Sitakufa basi nitaishi nikisimulia maetndo ya Bwana

  2. Jiwe walilokataa waashi limekuwa jiwe jiwe kuu la pembeni
    Neno hili limetoka kwa Bwana, nalo ni ajabu ajabu machoni petu

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa